PROJECTS

Mama Tulinde

Katika kuadhimisha siku ya watu wenye ualbino duniani ambayo kwa Tanzania kitaifa ilifanyika June 13 mkoani kagera @lovenessfoundation tuliungana na Wadau wengine na kuutumia mwezi huu wa sita kwa kutoa Elimu ya Afya ya Ngozi, na kugawa sunscreen, vitamins na miwani kwa watu wenye ualbino. sambamba na ujumbe kwa Mama @samia_suluhu_hassan #MamaTulinde. @lovenessfoundation tunashukuru sana kwa wadau walioutushika mkono na kufanikisha sherehe yetu. Asante sana @directorjoan kwa sunscreen @kipepeo_soap Sabuni Safi, maziwa kutoka @brooksidedairy. Na wadau woote waliotushika mkono bila kusahau #MilleniumTower kwa ukumbi mzuri sana na zaidi shukran zetu kwa @officialdavismosha sisi @lovenessfoundation tunashukuru sana wadau woote mliotushika mkono. Pia tunapenda kuwashukuru sana sana watu waliojitolea muda wao na ku volunteer kuhakikisha jambo hili linafanikiwa.
#LovenessFoundation
#AlbinismInAfrica
#MamaTulinde